Service Charter
S/NO. | CUSTOMER SUPPORT SERVICES | REQUIREMENTS TO OBTAIN THE SERVICES | COST OF SERVICES | TIMELINE | PERSONS IN CHARGE | |
1. | Response to phone calls | · Phone call | Free | 15 seconds | Customer care | |
2. | Response to enquiries by walk –in client | · Walk –in and make the enquiries | Free | 1 minute | Customer care | |
3. | Response to correspondence | · Written correspondence (letter) | Free | 5 working days | Secretary | |
· Email and social media (Twitter, Facebook & YouTube) | Free | 1 working day | Secretary / system admin | |||
4. | Admission into a course | · KCSE Certificate · Birth Certificate · National ID · 2 passport photo · Course application letter · Evidence of Prior Learning | Registration Fee KSHS 300 | 10 minutes | Registrar | |
5. | Registration of suppliers | · Dully filled application form, Company profile, Certificate of Incorporation/Registration, Pin Certificate, Valid Tax Compliance ,Certificate/Exemptions, Original Bank Statement, Copy of certificate of registration with relevant bodies, Non – refundable fee payment receipt, Copies of annual return forms filed by company registry, National ID/ Passport | Free | 14 working days | Procurement Officer | |
6. | Processing of request for information | · Make a request for information | Free | 21 days | Principal | |
7. | Response to public complaint and grievances | · Make complaint | Free | 1 working day | Ombudsman | |
8. | Resolution of complaints | · Make a verbal or written complaint | Free | 14 working days | Ombudsman | |
9. | Processing of tenders | · Submit bids for goods and services | Free | 90 days | Procurement Officer | |
10. | Notification of successful and non- successful bidders | · Access e-procurement portal for notification | Free | 1 working day | Procurement Officer | |
11. | Payment for goods and services received | · L.P.O /Invoice, Certificate of completion/ Goods/ Services received | Free | 60 days from the date of receipt of the invoice | Finance Officer | |
12. | Disposal of obsolete stores | · Submission of bids | free | 60 days from the date of advertisement | Procurement Officer | |
13. | Course Training | · Admission number · Fee payment · Dully filled termly registration form | As per fee structure | As per course curriculum As per training timetable | Principal D/Principal Finance Officer HOD Trainers | |
14. | Public –participation in policy making process | · Familiarization with issues and public participation | Free | I day | Principal | |
15. | Recruitment of staff | · Make formal application based on the advert | Free | 90 days | Human Resource |
NAMBARI | HUDUMA ZETU KWA MTEJA | YANAYOHITAJIKA ILI KUPATA HUDUMA | MALIPO KWA HUDUMA | MUDA
| MHUDUMU
|
1 | Kupokea simu | *Kupiga simu | Bure | Sekunde 15 | Huduma kwa wateja |
2 | Kujibu wateja waliofika chuoni kupata maelezo | *Kufika na kuuliza maswali | Bure | Dakika 1 | Huduma kwa wateja |
3 | Kujibu barua | *Barua iliyoandikwa | Bure | Siku 5 za kikazi | Mhazili |
*Barua pepe na mtandao wa kijamii(twita,fesbuk,yutiub) | Bure | Siku 1 ya kikazi | Mhazili/Msimamizi wa mfumo | ||
4 | Kusajiliwa kwenye kozi | *Cheti cha kuhitisha shule ya upili *Cheti cha kuzaliwa *kitambulisho cha Kitaifa *Picha mbili za pasipoti *Barua ya kuomba nafasi katika kozi *Ithibati ya masomo ya awali | Malipo ya usajili ya shilingi 300. | Dakika 10 | Msajili |
5 | Kusajiliwa kwa wasambasaji | *Fomu za kuomba nafasi zilizojazwa vilivyo,Maelezo ya kampuni,cheti cha Kuingizwa/Usajili,Cheti cha PIN,Cheti Halali cha Kuonyesha Ushuru Unalipwa/Ruhusa ya Kutolipa,taarifa ya benki,nakala ya usajili na vyama au mashirika husika,risiti za malipo ya pesa isiyorejeshwa,nakala za fomu za kulipa ushuru zinazowekwa usajili wa kampuni,Kitambulisho cha Kitaifa /Pasipoti. | Bure | Siku 14 za kikazi | Mkuu wa Ununuzi |
6 | Kuandaa jibu kwa ombi la kupata habari | *Kutuma ombi la kupata habari | Bure | Siku 21 | Mkuu wa Chuo |
7 | Kuitikia malalamiko ya umma | *Kulalamika | Bure | Siku 1 ya kikazi | Msuluhishi wa Migogoro |
8 | Kutoa suluhu kwa Malalamiko | *Kulalamika kwa kuandika au kusema | Bure | Siku 14 za kikazi | Msuluhishi wa Migogoro |
9 | Kuandaa Kandarasi | *Kutangaza zabuni za bidhaa huduma | Bure | Siku 90 | Afisa wa ununuzi |
10 | Kuwajulisha walioshinda zabuni na waliokosa kupata. | *Kuangalia kwenye mtandao wa ununuzi ili kupata taarifa. | Bure | Siku 1 ya kikazi | Afisa wa Ununuzi |
11 | Kulipia bidhaa na huduma zilizopokelewa | *(ALUN)Agizo la Ununuzi wa ndani/Ankara,Cheti cha kukamilika/Bidhaa/Huduma zilizopokelewa. | Bure | Sika 60 baada ya kutangaza | Afisa wa Fedha |
12 | Kutoa bidhaa/vifaa visivyotumika | *Kutangaza zabuni | Bure | Siku 60 baada ya kutangaza | Afisa wa Ununuzi |
13 | Kuhusisha umma katika mikakati ya kuunda sera. | *Kujua maswala husika kuhusisha umma | Bure | Siku 1 ya kikazi | Mkuu wa Chuo |
14 | Kuajiri Wafanyakazi | *Kuwasilisha ombi kirasmi kwa mujibu wa nafasi iliyotangazwa | Bure | Siku 90 za kikazi | Rasilimali Watu
|